Skip to main content

Posts

Showing posts from September, 2017

NYIMBO YA SUSUMILA TEBWERE NI UPUZI MTUPU

"NYIMBO YA SUSUMILA TEBWERE NI UPUZI MTUPU!!" si maneno yangu haya,ni maneno ya  mwanamziki wa mtindo wa raga kutoka huko kusini mwa pwani anayefahamika kama BONELESS KENYA, mwanamziki huyo alionekana akiposti kwa mtandao ya facebook akisema haezi amini kuwa msanii mkonge SUSUMILA anaeza toa mziki muozo usiojulikana mada wala melody,