Waliungana na kufanya Ngoma Itambae, track ambayo ilitokea na kupendwa sana na ndio track ya Mombasa pekee ambayo huchezwa kwa ma,club karibu kila siku. Na baadae wakafanya Hidaya ambayo vilevile ili,enjoy airplay nyingi sana haswaa kitaifa. Kazi zote mbili zilikua zimefanywa na Producer mkali, TK2 aka TK Mbili.Watu wlipenda ushirikiano wao na walikua na matumaini makubwa sana ya kwamba Susumila na Chikuzee wataipeperusha mbali sana bendera ya mziki hapa Pwani wakiwa pamoja.
Lakini hizo zilikua ndoto za alinacha, kwani baadae walikosana ikafikia kipindi mpaka Chikuzee akasema ya kwamba Susumila anatumia nguvu za giza kummaliza kimziki. Wengi walijaribu kuingilia ugomvi wao angalau wawapatanishe lakini ikashindikana.
Mwishoni mwa wiki jana, Chikuzee aliachia track yake aliyomshirikisha Kassim Mganga-NARINGA NAE na Susumila naye ndio alikua amemaliza kuandaa video ya track aliyomshirikisha King Kaka-MAPEPE.
Inaonekana wawili hao walimaliza ugomvi wao chini kwa chini na kuamua kufanya kitu cha pamoja na leo kama surprise, ma,star hao wawili katika track moja chini ya Producer gwiji Afrika Mashariki, Tuddy Thomas. UNAWEZA PATA NGOMA YAO KWAMKITO

Comments
Post a Comment