Msanii wa mziki wa dancehall kutoka pwani BONELESS amemuonyamtangazaji Gates mgenge wa PILIPILI FM ya kwamba atamlima makonde pindi tu watakapokutana sababu ikiwa presenta huyo nimkosefu wa adabu,na boneless anasema hakuwa akiskiza kipindi chake,lakini alipoambiwa awahi kusikiza kipindi chake alishangazwa kuwa presnta huyo anapiga mziki 90% kutoka nje na 10% kwa wasanii anaowabeba, BONELESS pia amesema presenta huyo amekifanya kipindichake ni chakutongozana yaani mashabiki wa kike wakipiga simu yeyeanaanza kuwavizia,akiiacha wasikilizaji wakisubiri nyimbo huku yeye anatongoza kwa radio huo NI ukosefu wa maadili,alisema mwanamziki huyo wa dancehall ambae ashawahi kufanya collabo na msanii wa Hip hop kutoka southafrica AKA,BONELESS alisema haipendi sana tabia ya presenta huyo inayozorotesha sanaa ya pwwani ,,mfuatilie king mpya wa dancehall HAPA
This is Probably The Hungriest Team Mafisi Member You Have Eve Seen A photo has been doing rounds on whatsapp groups showing what seems to be a guy's "bazooka" almost coming out of its pocket after standing next to a well endowed female. There are no details as of who the people are in the photo, but this has to be the hungriest team mafisi member you have ever seen. You will have to look very closely to see. check it out
Hii kali nayo
ReplyDelete